US Embassy Tanzania Profile Banner
US Embassy Tanzania Profile Image
US Embassy Tanzania

@usembassytz

Followers
242,124
Following
219
Media
1,936
Statuses
4,145

The U.S. partners with Tanzanians to build & sustain a healthier, more prosperous & secure nation. #WakuuWaUbalozi #UbaloziniLeo #usembassytz #NdoMazingiraYangu

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 hours ago
Today is #WorldWildlifeDay! Did you know the US through @USFWS is helping #Tanzania to conserve its iconic #wildlife including the savanna elephant, eastern chimpanzee and the critically endangered black rhino?
0
0
3
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 hours ago
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanyamapori! Je wajua Marekani kupitia Idara yake ya Wanyamapori na Samaki (@USFWS) inaisaidia #Tanzania kuhifadhi Wanyamapori wake adhimu ikiwa ni pamoja na tembo, sokwe wa kaskazini na faru weusi walio katika hatari ya kutoweka? https://t.co/tglAu4IcjW
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
3
19
@usembassytz
US Embassy Tanzania
20 hours ago
60 years ago, President Kennedy established the @PeaceCorps. Since then, over 240,000 Americans have served in more than 140 nations around the world. @PeaceCorpsTZ 3189 of them have served in #Tanzania.
1
2
21
@usembassytz
US Embassy Tanzania
20 hours ago
Miaka 60 iliyopita, Rais Kennedy alianzisha Shirika la Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani @PeaceCorps. Tangu hapo Wamerikani 240,000 wametumukia kwenye nchi zaidi ya 140 duniani kote. @PeaceCorpsTZ 3189 wao wametumikia nchini #Tanzania. https://t.co/qtc3oxrhTv
@USEmbassyGhana
U.S. Embassy Ghana
a day ago
60 ago today, President Kennedy established the @PeaceCorps. In 1961, President John F. Kennedy sent the very first 52 Peace Corps volunteers to serve their country in the cause of peace by living and working in Ghana. #PeaceCorpsWeek https://t.co/C2jt3sUP3q
Tweet media one
Tweet media two
1
3
30
@usembassytz
US Embassy Tanzania
23 hours ago
In celebration of #WorldWildlifeDay, join us for a special Facebook Live Chat tomorrow, March 3 at 10 AM with Jestina Kimbesa, a project management specialist who oversees biodiversity activities for @USAIDTanzania. @nature_org @TheWCS
0
1
9
@usembassytz
US Embassy Tanzania
23 hours ago
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanyamapori, ungana nasi katika mahojiano maalumu na mazungumzo mubashara kwa njia ya Facebook (Facebook Live Chat) na Jestina Kimbesa, Mtaalamu wa Miradi inayohusu Bayoanuai wa @USAIDTanzania kesho, tarehe 3 Machi saa 4 asubuhi. https://t.co/44CkH1DMMM
Tweet media one
1
3
52
@usembassytz
US Embassy Tanzania
a day ago
Viongozi wa nchi, wahudumu wa afya walio mstari wa mbele na wafanyakazi wengine muhimu walikuwa wa kwanza kupatiwa chanjo hiyo. Hatua moja kuelekea usawa katika upatikanaji chanjo - #VaccinEquity!
0
1
9
@usembassytz
US Embassy Tanzania
a day ago
Ghana na Cote d’Ivoire leo zimeweka historia ya kuwa nchi za kwanza barani Afrika kuanza kutoa chanjo ya #COVID19 kupitia mpango wa COVAX. https://t.co/EkzZwZJBGB
@WHOAFRO
WHO African Region
a day ago
Ghana & Cote d’Ivoire made history today as the first African countries to begin #COVID19 vaccination through COVAX. Country leaders, frontline health workers & essential staff were the first to receive it. One more step towards #VaccinEquity! @WHO @Gavi @CEPIvaccines @UNICEF https://t.co/TltkC66SX6
14
12
134
@usembassytz
US Embassy Tanzania
a day ago
The US supports efforts to conserve wildlife & natural resources in Tz. In Arusha & Manyara, The Endangered Ecosystems of Northern #Tanzania project thru @USAIDTanzania has achieved several strategies in conserving nature. Fact sheet → https://t.co/CYI2UvobbB @nature_org
0
2
11
@usembassytz
US Embassy Tanzania
a day ago
Marekani inaunga mkono uhifadhi wa maliasili nchini #Tanzania. Arusha na Manyara, mradi wa Mazingira wa Ikolojia iliyo Hatarini Kaskazini mwa Tanzania (EENT) kupitia @USAIDTanzania umefikia mikakati kadhaa katika uhifadhi wa nyanda za malisho kwa wanyamapori na mifugo. https://t.co/SFesWY0dxQ
Tweet media one
Tweet media two
4
14
125
@usembassytz
US Embassy Tanzania
a day ago
Hatua rahisi tunazoweza sote kuzifuata ili tubaki salama dhidi ya Covid-19. https://t.co/zaVaUwQeg9
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
12 days ago
🚨Vaa barakoa. 🚨Safisha mikono. 🚨Usichangamane na watu. Baadhi ya hatua muhimu za kuchukua kujiepusha na maambukizi ya #COVID19. Ni jukumu la kila mmoja wetu. 🎨 Sergio Lacueva https://t.co/miM5oWzXJh
Tweet media one
3
13
109
US Embassy Tanzania Retweeted
@WHO_Tanzania
WHO Tanzania
2 days ago
Historia ya vita dhidi ya maradhi inathibitisha chanjo zilibadili uelekeo wa majanga ya magonjwa.#vaccineworks #chanjo https://t.co/nOMqxwm18e
@UmojaWaMataifa
Umoja wa Mataifa
2 days ago
Amini: Chanjo huokoa maisha ya watu milioni 2 hadi 3 kila mwaka. Kuanzia Polio, Ndui, Dondakoo, Pepopunda, Surua, Kifaduro hadi HPV! Fahamu historia ya chanjo kutoka @WHO ⬇️ https://t.co/EGEyEKG2zW
Tweet media one
0
7
34
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
Big shout out to @andy_jd3, @ChrisMB_316 na @JohnMbilinyi1 for participating in almost all our quizzes! #AfricanAmericanHistoryMonth #BlackHistoryMonth
2
0
1
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
African-American women in the U.S. have been pioneers in science, technology, engineering and mathematics (STEM) fields. In our final posting we honor their achievements as we usher in the month of March, Women’s History Month!
2
0
7
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
In February we recognized and acknowledged the important achievements by African-Americans in the history of the U.S. We thank all those who participated in our daily quiz and say “Hongera” to all those that got their answers right.
1
0
4
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
Kongole kwa @andy_jd3, @ChrisMB_316 na @JohnMbilinyi1 kwa kujibu maswali mengi zaidi!
1
0
1
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
Wanawake wa Kimarekani wenye asili ya Afrika wamekuwa vinara katika nyanja za sayansi, teknolojia, uhandisi na hata mahesabu. Leo tunawaenzi wanawake hawa kwa mafanikio yao, hasa tunapoingia mwezi Machi, ambaao ni Mwezi wa Historia ya Wanawake!
2
1
4
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
Mwezi Februari tulienzi na kutambua mchango muhimu ya Wamarekani wenye asili ya Afrika katika historia ya Marekani. Tunawashukuru wote walioshiriki katika chemsha bongo yetu ya kila siku na “Hongera” waliojibu kwa usahihi. https://t.co/TDQjRCZJAd
4
2
24
@usembassytz
US Embassy Tanzania
2 days ago
Katika mkoa wa Kigoma, kazi ya kihistoria ya Dk Jane Goodall na sokwe wa Tanzania ni maarufu kote duniani. #WorldWildlifeDay https://t.co/X3C8OMjGQs
@USAIDTanzania
USAIDTanzania
3 days ago
.@JaneGoodallInst’s work is famous. Learn more about @USAID’s partnership with Jane Goodall in this photo story on the work we’re doing to build a forested future for the next generation in Tanzania 🇹🇿 https://t.co/t7kaNOG7LH https://t.co/MHbgYsTyuS
Tweet media one
0
1
37