Swahilihub

Swahilihub

@Swahilihub

Followers18.1K
Following176

SWAHILI HUB ni tovuti ya kipekee nchini Kenya na Tanzania inayokuza lugha ya Kiswahili kupitia habari zinazokuhusu, makala ya lugha na utafiti.

Nairobi na Dar es Salaam
Joined on January 31, 2012
Statistics

We looked inside some of the tweets by @Swahilihub and here's what we found interesting.

Inside 100 Tweets

Time between tweets:
10 days
Average replies
0
Average retweets
2
Average likes
5
Tweets with photos
100 / 100
Tweets with videos
0 / 100
Tweets with links
0 / 100

Rankings (sorted by number of followers)

10. in country Tanzania and category Community

42. in country Kenya and category Community

72. in country Tanzania

295. in country Kenya

Ken Walibora alivyowaathiri wanafunzi wa kigeni>>>>>>>https://t.co/hHvrDZ9T0R https://t.co/mZRAzgPeoF

Chaukidu yaungana na wapenzi wa Kiswahili kumlilia Profesa Ken Waribora>>https://t.co/Beph47PK4I https://t.co/E3Scwh1jUI

KARIBU UCHANGIE MJADALA : Sera yetu ya utamaduni inawaelekeza wageni  kujifunza lugha ya  Kiswahili wanapokuja nchini kufanya kazi au shughuli za masomo? https://t.co/mGhq8dN9LB

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) unatarajiwa kufanyika Machi 16 na 17 hapa nchini ambapo lugha ya Kiswahili itatumika kwa mara ya kwanza kama lugha rasmi ya Sadc. https://t.co/XeWSB6ig0r

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni na Mambo ya Kale wa Kenya, Josephta Mokobe akizungumza wakati wa sherehe za kuwatangaza washindi wa Tuzo za Fasihi ya Kiswahili za Mabati-Cornell zilizofanyika jana Alhamisi jijini Nairobi nchini Kenya. https://t.co/befG4xPdsW

Jumuiya ya wazungumzaji Kiswahili nchini Marekani imetangaza kuanzia sasa itatambulika kama Swahili Society America (SSA) wakiachana na jina la awali Swahili Society USA, huku wakibaki na malengo yaleyale.  
@SwahiliSociety https://t.co/aNuUdHtTPZ

Jumuiya ya wazungumzaji Kiswahili nchini Marekani imetangaza kuanzia sasa itatambulika kama Swahili Society America (SSA) wakiachana na jina la awali Swahili Society USA, huku wakibaki na malengo yaleyale. @SwahiliSociety https://t.co/aNuUdHtTPZ

Tarehe 9 Desemba 2000 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Mali, Alpha Oumar Konare alianzisha chombo kwa ajili ya Akademia ya Afrika ya Lugha (MACALAN) kupitia Tamko la Rais N”00.630/PRM.
Kutokana na chombo hicho Akademia ya Lugha  za Kiafrika (ACALAN) ilizaliwa mwezi Januari 2006. https://t.co/ibmwiSx5JC

Tarehe 9 Desemba 2000 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Mali, Alpha Oumar Konare alianzisha chombo kwa ajili ya Akademia ya Afrika ya Lugha (MACALAN) kupitia Tamko la Rais N”00.630/PRM. Kutokana na chombo hicho Akademia ya Lugha za Kiafrika (ACALAN) ilizaliwa mwezi Januari 2006. https://t.co/ibmwiSx5JC

Hafla ya ugawaji wa Tuzo za Fasihi ya Kiswahili za Mabati Cornell  za mwaka 2019 zinatarajiwa kufanyika leo Alhamisi Februari 27, kwenye Hoteli ya Intercontinental Nairobi nchini Kenya. https://t.co/LzHJcVMPM3

Mkutano wa kujadili matumizi ya lugha ikiwamo Kiswahili kwa ajili ya kutumika katika mitaala ya vyuo vikuu kwenye nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unafanyika kwa siku mbili kuanzia jana Jumatatu Februari 24, Durban nchini Afrika Kusini. https://t.co/puyw1k83wg

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa amekubali kutafsiri kitabu kinachozungumzia maisha yake cha "My Life, My Purpose" kupatikana kwa Kiswahili, ili kiweze kusomwa na Watanzania wengi zaidi. https://t.co/aOSFR9k21H

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limekitambua Kiswahili kuwa lugha itakayosaidia kukuza utangamano Barani Afrika. Soma zaidi>>>https://t.co/JJnN3aIB5W https://t.co/7fUfzfW1bD

Chama cha Kiswahili nchini Burundi (SAPROSS) kimezindua awamu nyingine ya mafunzo ya Kiswahili kwa ajili ya kuhamasisha wapenzi, wadau na wanafunzi kujifunza lugha hiyo. Soma zaidi>>>https://t.co/XZEQup2ezk

@SaprossB https://t.co/ZfHQIvPkux

Chama cha Kiswahili nchini Burundi (SAPROSS) kimezindua awamu nyingine ya mafunzo ya Kiswahili kwa ajili ya kuhamasisha wapenzi, wadau na wanafunzi kujifunza lugha hiyo. Soma zaidi>>>https://t.co/XZEQup2ezk @SaprossB https://t.co/ZfHQIvPkux

SAMATTA AKITANGAZA KISWAHILI LIGI KUU ENGLAND

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania amekuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi kuu ya England baada ya kusaini mkataba wa miaka minne, huku akikaribishwa kwa kuandikiwa ujumbe wa wa Kiswahili unaosomeka #KaribuSamatta. https://t.co/lLr9X0Mkhi

SAMATTA AKITANGAZA KISWAHILI LIGI KUU ENGLAND Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania amekuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi kuu ya England baada ya kusaini mkataba wa miaka minne, huku akikaribishwa kwa kuandikiwa ujumbe wa wa Kiswahili unaosomeka #KaribuSamatta. https://t.co/lLr9X0Mkhi

Taasisi ya African Academy of Languages (ACALAN-AU) kuadhimisha Wiki ya Lugha za Kiafrika kuanzia 18 hadi 20, Februari 2020  Bamako, Mali. https://t.co/VcITZBLu52

Lugha ya Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na zaidi ya Waafrika milioni 100. Kiswahili ni lugha rasmi katika Tanzania, Kenya na Uganda, huku ikiwa ni lingua franca katika sehemu nyingi za bara la Afrika. https://t.co/DeGjpkv3Kz

"Kiswahili ni lugha inayotumika katika nchi mbalimbali za Afrika na Tanzania lugha ya kiswahili inatumika katika mawasiliano katika idara mbalimbali za serikali ikiwamo Mahakamani,Bungeni na sehemu nyingine." Dkt Zuhura Badru (13/1/2020, uzinduzi Kitabu cha Prof. J. Madumulla) https://t.co/4AXHEEVpW9

"Miaka ya nyuma Mwalimu Julius Nyerere alikuwa na mikakati ya kuendeleza Kiswahili na kuna wakati walichukuliwa vijana kwenda kufundisha lugha hiyo nje ya nchi hali iliyochangia kuwapo kwa mshikamano wa Kiafrika." Dk Iddi Kombe mwalimu mstaafu https://t.co/eg2gKjqXB5

"Nimepokea taarifa hizi za uchungu leo asubuhi (9/1/2020) ni kweli Profesa Euphrase Kezilahabi amefariki dunia."- Mkuu wa Idara ya Lugha na Fasihi Chuo Kikuu cha Botswana Ndaki ya Insia,  Prof. Budzani Gabanamotse-Mogara. https://t.co/xLxkshkg7I

IDEA AFRICA waanzisha kampeni za kukipaisha Kiswahili Umoja Mataifa>>>https://t.co/FbWrGGTO8f https://t.co/5Br4Ale5qG

Wadau Kenya waomba serikali itilie mkazo matumizi ya Kiswahili >>>>>>https://t.co/d5wd1keLV5 https://t.co/es3XJi6ic2

Next Page